Jinsi ya kuunlock E3531 KCell itumie mitandao yote

Hii ni modem ya E3531 KCell inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa njia hii, utaweza kuunlock E3531 KCell na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Huawei Huawei E3531 KCell itumie mitandao yote
1. Chomeka modem yako kwenye computer ikiwa na SIM Card ya mtandao mwingine. Ikifunguka dashboard ya modem yako ifunge
2. Run DC Unlocker 2 Client as administrator
3. Bonyeza kwenye magnifying Glass
4. Italeta taarifa za modem yako
5. Mwisho wa taarifa za modem yako weka hizo code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera

Hongera! Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuunlock Huawei E3531 KCell na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock E3531 KCell itumie mtandao wowote, jinsi ya kuunlock Huawei E3531 KCell itumie yote, how to unlock E3531 KCell, how to unlock Huawei E3531 KCell, how to unlock E3531 KCell, how to unlock Huawei E3531 KCell, Download firmware for E3531 KCell, E3531 KCell Firmware

No comments