Jinsi ya kuunlock Alcatel Y853 EE itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo imefungwa na inayokutaka utumie SIM Card
ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel Y853 EE na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel Onetouch Y853 EE itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wi-Fi
3. Itafungua browser yenye Address 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza OK
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza OK

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch Y853 EE na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

No comments