Jinsi ya kuunlock BlackBerry 9860 Torch itumie mitandao yote

Hii ni simu ya BlackBerry ambayo imefungwa ili itumie SIM Card ya mtandao mmoja na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock simu ya Blackberry 9860 Torch na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock BlackBerry 9860 Torch itumie mtandao wowote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa simu yako
2. Nenda Settings >>>>> Security & Privacy >>>>> SIM Card
3. Bonyeza Unlock Network
4. Weka NCK code ulizotumiwa kisha bonyeza OK

Hongera! Mpaka hapo umefanikiwa kuunlock simu ya Blackberry 9860 Torche na utaweza kutumia SIM card ya mtandao wowote

No comments