Jinsi ya kuunlock Alcatel X221L itumie mitandao yote
Hii ni modem ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel X221L na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel X221L itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye modem yako
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza OK
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza OK
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch X221L na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags:
Jinsi ya kuunlock X221L itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock
Alcatel X221L itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch
X221L, jinsi ya kuunlock Alcatel X221L itumie mtandao wowote, namna ya
kufungua Alcatel X221L itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel
X221L itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya X221L itumie
mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya X221L, namna ya kuunlock
Alcatel onetouch X221L, how to unlock Alcatel X221L, how to unlock
X221L, how to unlock Alcatel onetouch X221L, how to unlock Alcatel
X221L, how to unlock Alcatel onetouch X221L

Post a Comment