Jinsi ya kuunlock Alcatel X220D itumie mitandao yote
Hii ni modem ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel X220D na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel X220D itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye modem yako
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itafungua browser yenye address kama hii 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza Log in
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza Apply
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch X220D na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock X220D itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel X220D itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch X220D, jinsi ya kuunlock Alcatel X220D itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel X220D itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel X220D itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya X220D itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya X220D, namna ya kuunlock Alcatel onetouch X220D, how to unlock Alcatel X220D, how to unlock X220D, how to unlock Alcatel onetouch X220D, how to unlock Alcatel X220D, how to unlock Alcatel onetouch X220D
hello sir ! i need nck code for x220D pleas 359725033692871 phnx
ReplyDelete