Jinsi ya kuunlock Alcatel X200X itumie mitandao yote

Hii ni modem ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel X200X na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel X200X itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye modem yako
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza OK
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza OK

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch X200X na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock X200X itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel X200X itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch X200X, jinsi ya kuunlock Alcatel X200X itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel X200X itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel X200X itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya X200X itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya X200X, namna ya kuunlock Alcatel onetouch X200X, how to unlock Alcatel X200X, how to unlock X200X, how to unlock Alcatel onetouch X200X, how to unlock Alcatel X200X, how to unlock Alcatel onetouch X200X

No comments