Jinsi ya kuunlock Alcatel X200S itumie mitandao yote
Hii ni modem ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel X200S na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel X200S itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye modem yako
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itafunguka browser yenye address 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza Log in
5. Itakuomba Unlock Code
6. Weka Unlock Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza Apply
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch X200S na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock X200S itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel X200S itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch X200S, jinsi ya kuunlock Alcatel X200S itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel X200S itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel X200S itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya X200S itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya X200S, namna ya kuunlock Alcatel onetouch X200S, how to unlock Alcatel X200S, how to unlock X200S, how to unlock Alcatel onetouch X200S, how to unlock Alcatel X200S, how to unlock Alcatel onetouch X200S
Post a Comment