Jinsi ya kuunlock Alcatel X150X itumie mitandao yote

Hii ni modem ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock modem yako ya Alcatel X150X na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel X150X itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye modem yako
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itafunguka browser yenye address 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza Log in
5. Itakuomba Unlock Code
6. Weka Unlock Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza Apply

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch X150X na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock X150X itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel X150X itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch X150X, jinsi ya kuunlock Alcatel X150X itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel X150X itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel X150X itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya X150X itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya X150X, namna ya kuunlock Alcatel onetouch X150X, how to unlock Alcatel X150X, how to unlock X150X, how to unlock Alcatel onetouch X150X, how to unlock Alcatel X150X, how to unlock Alcatel onetouch X150X

No comments