Jinsi ya kuunlock Alcatel W800 & W800Z itumie mitandao yote
Hii ni modem ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock modem yako ya AlcatelW800 & W800Z na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel W800 / W800Z itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye modem yako
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza OK
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza OK
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel W800 & W800Z 4G LTE na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Post a Comment