Jinsi ya kuunlock Alcatel MW40V & MW40VD itumie mitandao yote
Hii ni router ambayo inatumia SIM Card ya mtandao mmoja tu, ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock Alcatel MW40V & MW40VD na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel MW40V & MW40VD itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako
2. Unganisha router na Computer kwa Wifi
3. Itafunguka browser yenye Address 192.168.1.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza OK
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel MW40V & MW40VD na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Tags: Jinsi ya kuunlock MW40V & MW40VD itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel MW40V & MW40VD itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch MW40V & MW40VD, jinsi ya kuunlock Alcatel MW40V & MW40VD itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel MW40V & MW40VD itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel MW40V & MW40VD itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya MW40V & MW40VD itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya MW40V / MW40VD, namna ya kuunlock Alcatel onetouch MW40V / MW40VD, how to unlock Alcatel MW40V / MW40VD, how to unlock MW40V / MW40VD, how to unlock Alcatel onetouch MW40V / MW40VD, how to unlock Alcatel MW40V / MW40VD, how to unlock Alcatel onetouch MW40V / MW40VD
Post a Comment