Jinsi ya kuunlock Alcatel EE40 itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo imefungwa na inayokutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kufungua router yako ya Alcatel EE40 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel Onetouch EE40 itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wifi
3. Itafunguka browser yenye address 192.168.0.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza OK
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza OK

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch EE40 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock EE40 itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel EE40 itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch EE40, jinsi ya kuunlock Alcatel EE40 itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel EE40 itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel EE40 itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya EE40 itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya EE40, namna ya kuunlock Alcatel onetouch EE40, how to unlock Alcatel EE40, how to unlock EE40, how to unlock Alcatel onetouch EE40, how to unlock Alcatel EE40, how to unlock Alcatel onetouch EE40

No comments