Jinsi ya kuunlock ZLT P21 Airtel itumie mitandao yote
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock ZLT P21 Airtel na utaweza kutumia SIM Card wa mtandao wowote
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako tu.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Namna ya kuunlock ZLT P21 Airtel itumie mitandao yote
1. Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable ikiwa haina SIM Card yoyote
2. Install ZLT P21 Driver kwenye computer yako
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File
Hongera! Umefanikiwa kuunlock ZLT P21 Airtel na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka
Post a Comment