Jinsi ya kuunlock Alcatel EE 4GEE MINI MIFI itumie mitandao yote
Hii ni router ambayo imefungwa na inayokutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel EE 4GEE MINI MIFI na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel EE 4GEE MINI MIFI itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wifi
3. Itafunguka browser yenye address 192.168.0.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza OK
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza OK
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel EE 4GEE MINI MIFI na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock EE 4GEE MINI MIFI itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel EE 4GEE MINI MIFI itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch EE 4GEE MINI MIFI, jinsi ya kuunlock Alcatel EE 4GEE MINI MIFI itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel EE 4GEE MINI MIFI itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel EE 4GEE MINI MIFI itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya EE 4GEE MINI MIFI itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya EE 4GEE MINI MIFI, namna ya kuunlock Alcatel onetouch EE 4GEE MINI MIFI, how to unlock Alcatel EE 4GEE MINI MIFI, how to unlock EE 4GEE MINI MIFI, how to unlock Alcatel onetouch EE 4GEE MINI MIFI, how to unlock Alcatel EE 4GEE MINI MIFI, how to unlock Alcatel onetouch EE 4GEE MINI MIFI
Post a Comment