Jinsi ya kuunlock ZTE MF192+ itumie mitandao yote

Hii ni modem inayotumia mtandao mmoja ambapo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code. 

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock ZTE MF192+ na utaweza kutumia SIM Card wa mtandao wowote

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem yako tu.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Mahitaji
- ZTE MF192+ Unlocked Firmware
- ZTE MF192+ Driver
- USB Cable
- PC

Namna ya kuunlock ZTE MF192+ itumie mitandao yote
1. Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable ikiwa haina SIM Card yoyote
2. Install ZTE MF192+ Driver kwenye computer yako
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File

Hongera! Umefanikiwa kuunlock ZTE MF192+ na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock ZTE MF192+, jinsi ya kuunlock MF192+, jinsi ya kufungua ZTE MF192+, jinsi ya kufungua MF192+, download firmware for MF192+, download firmware for ZTE MF192+, download ZTE MF192+ Firmware, download MF192+, how to unlock ZTE MF192+, how to unlock MF192+, how to unlock MF192 +

No comments