Jinsi ya kuunlock Alcatel BT71 itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo inatumia SIM Card ya mtandao mmoja kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel BT71 Mini itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. Unganisha router na Computer kwa Wifi
3. Itafunguka browser
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code
7. Bonyeza OK

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel BT71 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

No comments