Jinsi ya kuunlock E303s-1 (21.158.13.00.926) LEO Burundi
Hii ni modem ya Huawei E303s-1 LEO Burundi ambayo inatumia SIM Card wa LEO Burundi tu kwahiyo ukiweka SIM card ya mtandao mwingine inakuandikia Invalid SIM Card
Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock modem yako ya E303s-1 LEO Burundi na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
8. Weka Unlock Code ambazo ni 8 digits kisha bonyeza OK

Namna ya kuunlock Huawei E303s-1 LEO Burundi itumie mitandao yote
1. Chomeka modem kwenye computer ikiwa na laini ya mtandao mwingine. Ikifungua dashboard, funga.
2.
Run SBC Code Calculator. Weka IMEI za modem zako kisha bonyeza calculate kupata Flash code
3. Run Huawei E303s-1 Leo Unlocked Firmware. Bonyeza Start, ikiomba password. Weka za Flash Code kisha bonyeza OK. Ikimaliza, Bonyeza Finish
4. Run Huawei Modem Code Writer. Bonyeza kwenye Please Select Com Port
5. Bonyeza kwenye Detect kisha chagua COM Port ya modem yako
6. Bonyeza Accept
7. Bonyeza Unlock Modem
8. Weka Unlock Code ambazo ni 8 digits kisha bonyeza OK
Hongera! Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock E303s-1 LEO Burundi na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Tags: Jinsi ya kuunlock E303s-1 LEO Burundi, Jinsi ya kuunlock Huawei E303s-1 LEO Burundi, namna ya kufungua E303s-1 LEO Burundi itumie mitandao yote, namna ya kufungua Huawei E303s-1 LEO Burundi, how to unlock E303s-1 LEO Burundi, how to unlock Huawei E303s-1 LEO Burundi, Download E303s-1 LEO Burundi firmware, Download E303s-1 LEO Firmware, Download firmware for E303s-1 LEO Burundi, Download Huawei E303s-1 LEO Burundi Firmware
Post a Comment