Jinsi ya kuunlock E5576-606 Liquid Zambia itumie mitandao yote
Hii ni router inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu wa Liquid kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock Huawei E5576-606 Liquid Zambia na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako tu.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi
Namna ya kuunlock Huawei E5576-606 Liquid Zambia itumie mitandao yote
1. Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable ikiwa haina SIM Card
2. Install Huawei Driver kwenye computer yako
3. Run Huawei Master Code Calculator, Bonyeza kwenye Huawei Tab, weka IMEI za modem yako kisha bonyeza kwenye Calculate kupata Flash Code
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E5576-606 Liquid Zambia na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka
Post a Comment