Jinsi ya kuunlock E220 Safaricom Kenya itumie mitandao yote

Hii ni modem ya Huawei E220 Safaricom Kenya ambayo inakutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM card ya mtandao mwingine itakuandikia Invalid SIM

Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock modem yako ya E220 Safaricom Kenya na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock Huawei E220 Safaricom Kenya itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha chomeka modem yako kwenye computer
2. Install dashboard ya modem yako ili kuinstall drivers za modem yako
3. Baada ya kuinstall, itafunguka dashboard ya modem yako. Ifunge
4. Soma maelezo yaliyopo kwenye PDF kwenye File

Hongera! Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock Huawei E220 Safaricom Kenya na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

 
Tags: Jinsi ya kuunlock E220 Safaricom Kenya, Jinsi ya kuunlock Huawei E220 Safaricom Kenya, Jinsi ya kuunlock E220 Safaricom Kenya, namna ya kufungua E220 Safaricom Kenya itumie mitandao yote, namna ya kufungua Huawei Safaricom Kenya, how to unlock E220 Safaricom Kenya, how to unlock Huawei E220 Safaricom Kenya, Download E220 unlocked firmware, E220 Safaricom Kenya firmware, Download E220 Safaricom Kenya, Download E220 Safaricom Kenya Firmware, Download firmware for E220 Safaricom Kenya, Download Huawei E220 Safaricom Kenya Firmware

No comments