Jinsi ya ku-fix Limited Service, Disconnected & No Service ZTE MF927U

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuondoa tatizo la Limited Service, Disconnected au No Service kwenye router yako ya MF927U na utaweza kutumia router yako ya ZTE MF927U pasipo kujirudia tena tatizo hili.

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako tu.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya ku-fix Limited Service, Disconnected & No Service ZTE MF927U
1. Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable ikiwa haina SIM Card yoyote
2. Install MF927U Driver kwenye computer yako
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File

Hongera! Umefanikiwa ku-fix Limited Service, Disconnected & No Service kwenye router yako ya ZTE MF927U na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

 
Tags: how to fix Limited Service, how to fix no service, how to fix Disconnected, Jinsi ya kuunlock ZTE MF927U, jinsi ya kuunlock ZTE MF927U, jinsi ya kufungua ZTE MF927U, jinsi ya kufungua ZTE MF927U, download firmware for ZTE MF927U, download firmware for ZTE MF927U, download ZTE MF927U, download ZTE MF927U firmware, how to unlock ZTE MF927U, how to unlock ZTE MF927U

No comments