Namna ya kudownload vitabu mtandaoni

Kutokana na watu wengi kuwa na uhitaji wa kusoma vitabu mbalimbali mtandaoni, timu ya Fahusvera imekuandalia kitabu ambacho kitakusaidia kupakua na kusoma vitabu unavyotaka bure mtandaoni. 

Baada ya kumaliza kusoma utaweza kudownload na kusoma vitabu vyako offline kwenye simu, tablet au computer bure bila kulipia chochote

Muhimu
Kitabu hiki kimeandikwa na timu ya Fahusvera, hairuhusiwi mtu yoyote kuchapicha tena (Editing), kuweka kwenye website au blog zingine bila idhini ya mwandishi. Hatua kali za kisheria zitachukuliwa. Wasiliana na timu ya Fahusvera +255767434014 kwa maelezo zaidi. Haki zote zimehifadhiwa. 

Utaweza kudownload na kupakua vitabu vingi zaidi ya laki moja bure mtandaoni vikiwemo na vingine vingi bure bila malipo yoyote
- The richest man in babylon by George S. Carson
- The 48 Laws of powers
- Managing your money personal finance by robert kiyosaki
- Fire and  and Fury by Michael Wolff
- Think and grow rich
- Rich dady Poor dady
- Think big
- How to win friend and influence
- Think and grow rich by Napoleon
- Goals by Brian Tracy
- Why We Want You to be Rich: Two Men One Message by Donald Trump and Robert Kiyosaki
- Be All you can be by John C. Maxwell
- A leader who had no title by Robin Sharma Pdfdrive
- Relationships 101 by John C. Maxwell
- Success Principles by Jack Canfield.
- Public Speaking for Success by Dale Carnegie
- The Millionaires next door by Thomas Stanley and William Donko.
- You can Win by Shiv Khera.
- The world greatest spies by Robert Boar and Nigel Blundel
- Global intelligence : The world secret service today
- The spy who got away by David Wise
- The spying game : The secret history of British espionage and station X- by David Golden
- 101 ways to make money in Africa
- Why men love bitches
- The greatness guide (101 lessons for making what is good at work and in life even better
- Secrets of the richest man who has ever lived

Utaweza kudownload vitabu vya forex bure bila kulipia chochote kama hivi vinavyoonekana kwenye picha na vingine vingi

Utaweza kudownload Past Papers pamoja na vitabu vya masomo ya shule ya msingi, secondary (Form I, II, III & IV), A level (Form Five & Form Six) na Chuo na utaweza kusoma offline wakati wote
- Mathematics
- History
- Geography
- Biology
- Kiswahili (Vitabu vya uhakiki, notes na Past papers)
- CPA
- Economics
- English
- Physics
- Chemistry
Na vingine vingi

Baada ya kusoma kitabu hiki utaweza kupakua vitabu mbalimbali mtandaoni bure kwenye simu na computer yako

Tags: Download books free, pakua vitabu mtandaoni bure, download vitabu vya kulipia mtandaoni bure, pata vitabu mtandaoni bure, website za kupakua vitabu bure, Website za kudownload vitabu mtandaoni, link za website za vitabu mtandaoni bure, magroup ya vitabu whatsApp, channel za vitabu telegram, jinsi ya kupakua vitabu telegram,namna ya kupakua vitabu whatsApp, Vitabu lazima uvisome, pata notes za masomo mbalimbali, downloan vitabu vya masomo ya shule msingi bure, download vitabu vya masomo ya sekondary bure,pakua vitabu vya masomo ya chuo bure, Download vitabu vya primary bure, Download vitabu vya O-level bure, Download vitabu vya A level bure mtandaoni. Pata vitabu vya masomo mbalimbali

No comments