Jinsi ya kuunlock Huawei K3565-rev 2 Vodacom Tanzania
Hii ni modem ambayo inatumia SIM Card ya mtandao mmoja tu na ukiweka laini ya mtandao mwingine inaomba SIM Lock Code.
Kwa kushirikiana na team ya Fahusvera utaweza kuunlock modem ya K3565-rev 2 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Huawei K3565-rev 2 itumie mitandao yote
1. Weka laini ya mtandao mwingine kwenye modem yako
2. Chomeka kwenye computer, itakuomba NCK Code.
3. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
Hongera! Umefanikiwa kuunlock modem yako na utaweza kutumia SIM Card ya mitandao yote




Post a Comment