Jinsi ya kuunlock E5573Bs-320 Vodacom Tanzania

Hii ni router ambayo ina customized firmware ambayo inakutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu wa Vodacom kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba SIMLOCK Code.

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock router yako ya Huawei E5573bs-320 Vodacom Tanzania na utaweza kutumia SIM Card mtandao wowote ule unaoutaka

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock Huawei E5573Bs-320 Vodacom Tanzania
1. Install Huawei Drivers kwenye computer yako
2. Run Huawei E5573Bs-320 Vodacom unlocked Firmware
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File


Hongera! Umeweza kuunlock router yako ya Huawei E5573Bs-320 Vodacom Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

Tags: Jinsi ya kuunlock E5573Bs-320 Vodacom Tanzania itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Huawei E5573Bs-320 Vodacom Tanzania, jinsi ya kufungua Huawei E5573Bs-320 Vodacom Tanzania itumie mitandao yote, namna ya kufungua E5573Bs-320 Vodacom Tanzania itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock router ya Vodacom E5573Bs-320 itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua router ya E5573Bs-320 Vodacom Tanzania, how to unlock E5573Bs-320 Vodacom Tanzania, how to unlock Huawei E5573Bs-320 Vodacom Tanzania, download E5573Bs-320 Vodacom Firmware, download Huawei E5573Bs-320 Vodacom Tanzania firmware

No comments