Jinsi ya kuunlock Vodafone V785 Vodacom Tanzania
Hii ni simu ambayo imefungwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania inayokutaka utumie laini ya mtandao mmoja kwenye upande wa SIM 1 ambapo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine itakuomba SIMLOCK Code.
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock simu yako ya Vodafone V785 na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote kwenye SIM 1.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Baada ya kupata NCK Code. Fuata hatua hizi ili uweze kuunlock Vodafone Vodacom V785 itumie mitandao wowote
1. Weka laini ya mtandao mwingine kisha bonyeza button ya kuwashia simu
2. Bonyeza *#*#3646633#*#*
3. Chagua SIMLOCK Menu
4. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
Hongera! Umefanikiwa kuunlock simu yako ya Vodafone V785 Vodacom Tanzania na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.




Post a Comment