Jinsi ya kuunlock E3531s-2 MTN Fastlink itumie mitandao yote
Hii ni modem ambayo imefungwa ili iweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inaomba SIMLOCK Code.
Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock modem yako ya E3531s-2 MTN Fastlink na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya Kuunlock Huawei E3531s-2 MTN Fastlink itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye modem yako
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itakuomba NCK Code
4. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
5. Bonyeza OK
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E3531s-2 MTN Fastlink na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Post a Comment