Jinsi ya kuunlock Blackberry 8310 itumie mitandao yote

Hii ni simu ambayo imefungwa na kampuni ya mawasiliano ili iweze kutumia laini ya mtandao mmoja tu kwahiyo hauwezi kutumia SIM Card mtandao mwingine isipokuwa ya wenyewe tu.

Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock simu yako ya Blackberry 8310 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Waiting Time: 1min - 5minutes

Baada ya kupata NCK Code fuata hatua hizi
1. Weka laini ya mtandao mwingine kisha washa simu yako
2. Ingia Settings >>>>> Security & Privacy >>>>> SIM Card
3. Bonyeza "Unlock Network"
4. Weka NCK Code (ulizotumiwa)
5. Bonyeza "OK"

Hongera! Umefanikiwa kuunlock simu yako ya Blackberry Curve 8310 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

No comments