Namna ya kuunlock Vodafone VFD 301 Vodacom Tanzania
Ni simu ambayo imefungwa ili iweze kutumia laini ya mtandao mmoja kwenye SIM 1 ambapo utaweza kupata internet yenye kasi zaidi huku SIM 2 ikiwa na 2G.
Kwa kushirikiana na team ya Fahusvera utaweza kufungua simu ya Vodacom Vodafone VFD 301 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote
Faida
- Utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote
- Utapata internet yenye kasi zaidi ya 3G kwa kutumia SIM Card ya mtandao wowote
Mahitaji
- Computer
- USB Cable
- Software
Jinsi ya kuunlock simu ya Vodafone VFD 301 itumie mitandao yote
Download File hapo chini lina maelezo pamoja na software za kuunlock simu ya Vodacom Vodafone 301



Post a Comment