Namna ya kuunlock ZTE MF190 Airtel Tanzania itumie mitandao yote

Hii ni modem ambayo imefungwa ili usiweze kutumia laini ya mtandao wowote ule kwahiyo itakulazimisha utumie SIM Card ya mtandao wa Airtel tu. 

Kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock modem ya ZTE MF190 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa modem yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick modem yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe modem yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock modem yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Jinsi ya kuunlock ZTE MF190 Airtel Tanzania itumie mtandao wowote
1. Chomeka modem yako ikiwa SIM Card ya mtandao mwingine

2. Install ZTE MF190 Driver kwenye computer yako

3. Run ZTE MF190 unlocked firmware kisha bonyeza Start, bonyeza next, iache mpaka imalize. Ikimaliza, bonyeza Finish

Hongera! Mpaka hapo utakuwa umeweza kufungua modem ya ZTE MF190 Airtel Tanzania na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule unaoutaka

Tags:  Jinsi ya kuunlock ZTE MF190 itumie mitandao yote, namna ya kuunlock ZTE MF190 Airtel itumitue mitandao yote, jinsi ya kufungua ZTE MF190 Airtel Tanzania mtandao wowote, jinsi ya kuunlock modem ya Airtel ZTE MF190, namna ya kuunlock modem ya Airtel ZTE MF 190, ZTE MF190 Airtel Tanzania, how to unlock ZTE MF190, how to unlock ZTE190 Airtel Tanzania, how to unlock ZTE MF190 Airtel, jinsi ya kuunlock ZTE MF190 Airtel Tanzania

No comments