Jinsi ya kuunlock Orange San Francisco itumie mitandao yote

Hii ni simu ambayo imefungwa ili utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock Orange San Francisco na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kufungua Orange San Francisco itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. Washa simu yako
3. Utaletewa ujumbe Enter SIM Unlock PIN
4. Weka NCK Code ulizotumiwa
5. Bonyeza OK

Hongera! Umefanikiwa kuunlock simu yako ya Orange San Francisco na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

No comments