Jinsi ya kuunlock Itel Vision 2 P681L itumie mitandao yote
Hii ni simu inayokutaka utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu na ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code
Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera utaweza kuunlock simu yako ya Itel Vision 2 P681L itumie mitandao yote
Waiting Time: 1min - 5mins
Namna ya kuunlock Itel Vision 2 P681L itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kisha washa simu yako
2. Itakuomba uweke NCK Code
3. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
4. Bonyeza OK
Hongera! Umefanikiwa kuunlock simu yako ya Itel Vision 2 P681L na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

Post a Comment