Jinsi ya kuunlock Alcatel M298 itumie mitandao yote

Hii ni simu ambayo imefungwa ili utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock Alcatel M298 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kufungua Alcatel M298 itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine.
2. Washa simu yako
3. Utaletewa ujumbe Enter Network Key.
4. Weka NCK Code ulizotumiwa
5. Bonyeza OK

Hongera! Umefanikiwa kuunlock simu yako ya Alcatel M298 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

No comments