Jinsi ya kuunlock D-Link DWR 932C HW Ver F1 FW Ver01.04.DME

Hii ni router ambayo imefungwa ili utumie SIM Card ya mtandao mmoja tu. Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock D-Link DWR 932C na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock Dlink DWR 932C itumie mitandao yote
1. Install D-Link DWR 932C Driver
2. Chomeka router yako kwenye computer kwa USB Cable
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File

Hongera! Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock D-Link DWR 932C H/W Ver F1 F/W Ver01.04.DME na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock 932C, Jinsi ya kuunlock Dlink 932C, namna ya kufungua D-Link 932C itumie mitandao yote, namna ya kufungua DWR 932C, Namna ya kufungua Dlink 932C, how to unlock D-Link 932C, how to unlock D-Link DWR 932C, how to unlock DWR 932C HW Ver F1 FW Ver01.04.DME, Download Dlink 932C firmware, Download DWR 932C HW Ver F1 FW Ver01.04.DME Firmware, Download firmware for D-Link DWR 932C HW Ver F1 FW Ver01.04.DME

No comments