Jinsi ya kuunlock Alcatel Y854VB itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel Y854VB na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel Y854VB itumie mitandao yote
1. Chomeka modem yako kwenye computer ikiwa na SIM Card ya mtandao mwingine
2. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
3. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
4. Itakuomba NCK Code
5. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
6. Bonyeza "Apply"

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch Y854VB na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock Y854VB itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel Y854VB itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch Y854VB, jinsi ya kuunlock Alcatel Y854VB itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel Y854VB itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel Y854VB itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya Y854VB itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya Y854VB, namna ya kuunlock Alcatel onetouch Y854VB, how to unlock Alcatel Y854VB, how to unlock Y854VB, how to unlock Alcatel onetouch Y854VB, how to unlock Alcatel Y854VB, how to unlock Alcatel onetouch Y854VB

No comments