Jinsi ya kuunlock Alcatel Y854 itumie mitandao yote
Hii ni router ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code
Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel Y854 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Alcatel Y854 itumie mitandao yote
1. Chomeka modem yako kwenye computer ikiwa na SIM Card ya mtandao mwingine
2. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
3. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
4. Itakuomba NCK Code
5. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
6. Bonyeza "Apply"
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch Y854 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock Y854 itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel Y854 itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch Y854, jinsi ya kuunlock Alcatel Y854 itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel Y854 itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel Y854 itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya Y854 itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya Y854, namna ya kuunlock Alcatel onetouch Y854, how to unlock Alcatel Y854, how to unlock Y854, how to unlock Alcatel onetouch Y854, how to unlock Alcatel Y854, how to unlock Alcatel onetouch Y854
Post a Comment