Jinsi ya kuunlock Alcatel Y800i itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code

Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel Y800i na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Alcatel Y800i itumie mitandao yote
1. Chomeka modem yako kwenye computer ikiwa na SIM Card ya mtandao mwingine
2. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
3. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
4. Itakuomba NCK Code
5. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
6. Bonyeza "Apply"

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch Y800i na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock Y800i itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel Y800i itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch Y800i, jinsi ya kuunlock Alcatel Y800i itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel Y800i itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel Y800i itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya Y800i itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya Y800i, namna ya kuunlock Alcatel onetouch Y800i, how to unlock Alcatel Y800i, how to unlock Y800i, how to unlock Alcatel onetouch Y800i, how to unlock Alcatel Y800i, how to unlock Alcatel onetouch Y800i

No comments