Jinsi ya kuunlock Alcatel HH71V1 itumie mitandao yote
Hii ni router ambayo imefungwa ili itumie SIM Card ya mtandao mmoja kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel HH71V1 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock HH71V1 itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wifi
3. Itafunguka browser ambayo ina address 192.168.0.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza "OK"
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel HH71V1 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Tags: Jinsi ya kuunlock HH71V1 itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel HH71V1 itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch HH71V1, jinsi ya kuunlock Alcatel HH71V1 itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel HH71V1 itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel HH71V1 itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya HH71V1 itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya HH71V1, namna ya kuunlock Alcatel onetouch HH71V1, how to unlock Alcatel HH71V1, how to unlock HH71V1, how to unlock Alcatel onetouch HH71V1, how to unlock Alcatel HH71V1, how to unlock 4G LTE Alcatel onetouch HH71V1
Post a Comment