Jinsi ya kuunlock Alcatel HH70VB itumie mitandao yote
Hii ni router ambayo inayotumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka laini ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.
Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel HH70VB na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock HH70VB itumie mitandao yote
1. Chomeka modem yako kwenye computer ikiwa na SIM Card ya mtandao mwingine
2. Itafunguka browser yenye address kama hii 192.168.1.1
3. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
4. Itakuomba NCK Code
5. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
6. Bonyeza "Apply"
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel Onetouch HH70VB na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaotaka

Tags: Jinsi ya kuunlock HH70VB itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel HH70VB itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch HH70VB, jinsi ya kuunlock Alcatel HH70VB itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel HH70VB itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel HH70VB itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya HH70VB itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya HH70VB, namna ya kuunlock Alcatel onetouch HH70VB, how to unlock Alcatel HH70VB, how to unlock HH70VB, how to unlock Alcatel onetouch HH70VB, how to unlock Alcatel HH70VB, how to unlock Alcatel onetouch HH70VB
Post a Comment