Jinsi ya kuunlock Alcatel HH41C itumie mitandao yote
Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel HH41C na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock HH41C itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wifi
3. Itafunguka browser ambayo ina address 192.168.0.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza "OK"
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel HH41C na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.
Tags: Jinsi ya kuunlock HH41C itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel HH41C itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch HH41C, jinsi ya kuunlock Alcatel HH41C itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel HH41C itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel HH41C itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya HH41C itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya HH41C, namna ya kuunlock Alcatel onetouch HH41C, how to unlock Alcatel HH41C, how to unlock HH41C, how to unlock Alcatel onetouch HH41C, how to unlock Alcatel HH41C, how to unlock 4G LTE Alcatel onetouch HH41C
Post a Comment