Jinsi ya kuunlock Alcatel HH40V Straight Talk itumie mitandao yote
Kwa kushirikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock router yako ya Alcatel HH40V Straight Talk na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock HH40V Straight Talk itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako
2. Unganisha router yako na Computer kwa Wifi
3. Itafunguka browser ambayo ina address 192.168.0.1
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza "OK"
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Alcatel HH40V Straight Talk na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.




Post a Comment