Jinsi ya kuunlock ZTE MF83M Etisalat itumie mitandao yote

Hii ni router ya kampuni ya Etisalat ambayo imetengenezwa ili iweze kutumia SIM card ya mtandao mmoja tu. Ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine itakuletea ujumbe wa invalid SIM Card na hautaweza kupata internet.

Kwa kutumia njia hii utaweza kufungua router ya ZTE MF83M Etisalat na utaweza kutumia laini ya mtandao wowote ule unaoutaka

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hizi uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock ZTE MF83M Etisalat itumie mitandao yote
1. Install ZTE MF83M drivers kwenye computer yako. Kama unatumia Windows yenye X32/86 haina haja ya kudisable driver signature enforcement. Ila
kama unatumia Windows yenye X64 inabidi u-disable driver signature enforcement kwenye computer yako. Soma >>> Jinsi ya kuangalia kama unatumia Windows yenye bit x32 au X64 kwenye computer.
3. Chomeka router yako ya ZTE MF83M Etisalat kwenye computer

4. Soma maelezo ya PDF kwenye file kuunlock router yako ya ZTE MF83M Etisalat

Hongera! Umefanikiwa kuunlock router yako ya MF83M Etisalat na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Tags: Jinsi ya kuunlock ZTE MF83M Etisalat itumie mitandao yote, namna ya kuunlock Etisalat ZTE MF83M itumie mtandao wowote, namna ya kufungua ZTE MF83M Etisalat itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Etisalat ZTE MF83M itumie laini ya mtandao wowote, namna ya kufungua router ya Etisalat ZTE MF83M, jinsi ya kufungua router ya ZTE MF83M Etisalat itumie mitandao yote, how to unlock ZTE MF83M Etisalat, how to unlock Halotel R6601, download ZTE MF83M Etisalat Firmware, download Etisalat ZTE MF83M firmware, how to unlock ZTE MF83M, download ZTE MF83M firmware, how to unlock Etisalat ZTE MF83M, jinsi ya kufungua Etisalat ZTE MF83M, namna ya kuunlock Etisalat ZTE MF83M itumie mtandao wowote

No comments