Jinsi ya kuunlock SM-LT200 Smile itumie mitandao yote
Hii ni router ya kampuni ya mtandao wa Smile ambayo imefungwa ili uweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock SM-LT200 Smile na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka
Mahitaji
- Computer
- Driver
- Firmware
Namna ya kuunlock SM-LT200 Smile 4G LTE
1. Install SM-LT200 driver kwenye computer yako
2. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
3. Chomeka router yako ya SM-LT200 Smile kwenye computer
4. Run SM-LT200 Smile Unlocked firmware
5. Bonyeza Start >>> Next. Iache mpaka imalize yenyewe
6. Ikimaliza, bonyeza Finish
Hongera! Mpaka hapo utakuwa umeweza kuunlock SM-LT200 Smile na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule
Post a Comment