Jinsi ya kuunlock SM-LT200+ Smile 4G LTE itumie mitandao yote

Hii ni router ya kampuni ya mtandao wa Smile ambayo imefungwa ili uweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwa kutumia njia hii utaweza kuunlock SM-LT200+ Smile na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka

Mahitaji
- Computer
- Driver
- Firmware

Namna ya kuunlock SM-LT200+ Smile 4G LTE
1. Install SM-LT200+ driver kwenye computer yako
2. Chomeka router yako ya SM-LT200+ Smile kwenye computer
3. Run SM-LT200+ Smile Unlocked firmware
4. Bonyeza Start kisha Next. Iache mpaka imalize yenyewe
5. Ikimaliza, bonyeza Finish

Hongera! Mpaka hapo utakuwa umeweza kuunlock SM-LT200+ Smile 4G LTE na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule

Tags: Namna ya kuunlock LT200+ Smile, jinsi ya kuunlock SM-LT200+ Smile, Namna ya kuunlock SM 200+ Smile, How to LT200+ Smile, how to unlock SM-LT200+ Smile, how to unlock SM 200+ Smile, download firmware for SM-LT200+ Smile, SM-LT200+ Firmware, namna ya kufungua SM-LT200+

No comments