Jinsi ya kuunlock Huawei B315s-22 Smile Mifi

Hii ni Mifi ambayo imefungwa ili utumie SIM Card moja tu wa Smile na ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba SIMLOCK Code

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock Huawei B315s-22 Smile na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Muhimu
- Hakikisha hakuna kifaa kingine kimechomekwa kwenye computer isipokuwa router yako.
- Hakikisha computer yako ina charge 50% na kuendelea
- Usitumie Unlocked firmware tofauti na hii uta-brick router yako. Itakufa jumla
- Usizime computer yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Usichomoe router yako kipindi cha kurun unlocked firmware
- Soma kwanza maelezo kabla ya kuunlock router yako
- Hatua moja ni muhimu sana, ukiruka hatua moja basi hatua nyingine haitafanya kazi

Namna ya kuunlock Huawei B315s-22 Smile Mifi
1. Install Huawei Drivers i.e FC Serial Driver & Huawei Datacard Driver
2. Run Huawei B315s-22 Smile unlocked Firmware
3. Soma maelezo ya PDF kwenye File

Hongera! Mpaka hapa utakuwa umefanikiwa kuunlock B315s-22 Smile na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock B315s-22 Smile, Jinsi ya kuunlock Huawei B315s-22 Smile, namna ya kufungua B315s-22 Smile itumie mitandao yote, namna ya kufungua B315s-22 Smile, Namna ya kufungua B315s-22 Smile, how to unlock B315s-22 Smile, how to unlock Huawei B315s-22 Smile, how to unlock B315s-22 Smile, Download B315s-22 firmware, Download B315s-22 Smile Firmware, Download firmware for B315s-22 Smile

No comments