Jinsi ya kuunlock E5336Bs-2 Etisalat itumie mitandao yote

Hii ni router ya Huawei E5336Bs-2 ya mtandao wa Etisalat ambao umefungwa ili uweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine itakuandikia SIMLOCK Code.

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock router yako ya Huawei E5336Bs-2 Etisalat na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Huawei E5336Bs-2 Etisalat itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. 
Unganisha router yako na computer kwa Wi-Fi
3. Itafunguka browser yenye address 192.168.1.1/simlock.asp kama itashindwa kufunguka, ingia
kwenye browser yako kisha andika adress hii http://192.168.1.1/html/simlockrequired.htm
- Jaza User Name na Password ambayo ni admin kwa zote kisha bonyeza kitufe cha Log In
4. Weka NCK code nilizokutumia kisha bonyeza kitufe cha Apply.
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E5336Bs-2 Etisalat na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Tags! Jinsi ya kuunlock E5336Bs-2 Etisalat, namna ya kuunlock Huawei E5336Bs-2 Etisalat, namna ya kuunlock E5336Bs-2, jinsi ya kuunlock Huawei E5336Bs-2, namna ya kuunlock Etisalat E5336Bs-2, download firmware for E5336Bs-2 Etisalat, E5336Bs-2 Etisalat firmware, E5336Bs-2 firmware

No comments