Jinsi ya kuunlock E5180s-22 Smile itumie mitandao yote

Hii ni router ya E5180s-22 Smile ambayo umefungwa ili uweze kutumia SIM Card
ya mtandao mmoja tu wa Smile kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine itakuandikia SIMLOCK Code.

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock router yako ya Huawei E5180s-22 Smile na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Huawei E5180s-22 Smile itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. 
Unganisha router yako na computer kwa Wi-Fi
3. Itafunguka browser yenye address 192.168.1.1simlock.asp kama itashindwa kufunguka, ingia
kwenye browser yako kisha andika adress hii http192.168.1.1htmlsimlockrequired.htm
- Jaza User Name na Password ambayo ni admin kwa zote kisha bonyeza kitufe cha Log In
4. Weka NCK code nilizokutumia kisha bonyeza kitufe cha Apply.

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E5180s-22 Smile na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Tags! Jinsi ya kuunlock E5180s-22 Smile, namna ya kuunlock Huawei E5180s-22 Smile, namna ya kuunlock E5180s-22 Smile, jinsi ya kuunlock Huawei E5180s-22 Smile, namna ya kuunlock Smile E5180s-22, download firmware for E5180s-22 Smile, E5180s-22 Smile firmware, E5180s-22 firmware

No comments