Jinsi ya kuunlock E5180s-22 LTE Cube itumie mitandao yote
Hii ni router ya E5180s-22 LTE Cube ambayo umefungwa ili uweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine itakuandikia SIMLOCK Code.
Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock router yako ya Huawei E5180s-22 LTE Cube na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.
Waiting Time: 1min - 5minutes
Namna ya kuunlock Huawei E5180s-22 LTE Cube itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. Unganisha router yako na computer kwa Wi-Fi
3. Itafunguka browser yenye address 192.168.1.1/simlock.asp kama itashindwa kufungua, ingia
kwenye browser yako kisha andika adress hii http://192.168.1.1/html/simlockrequired.htm
- Jaza User Name na Password ambayo ni admin kwa zote kisha bonyeza kitufe cha Log In
4. Weka NCK code nilizokutumia kisha bonyeza kitufe cha Apply
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E5180s-22 LTE Cube na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Post a Comment