Jinsi ya kuunlock E5172s-920 Swift itumie mitandao yote

Hii ni router ya Huawei E5172s-920 ya mtandao wa Swift ambao umefungwa ili uweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine itakuandikia SIMLOCK Code.

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock router yako ya Huawei E5172s-920 Swift na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Huawei E5172s-920 Swift itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. 
Unganisha router yako na computer kwa Wi-Fi
3. Itafunguka browser yenye address 192.168.1.1/simlock.asp kama itashindwa kufunguka, ingia
kwenye browser yako kisha andika adress hii http://192.168.1.1/html/simlockrequired.htm
- Jaza User Name na Password ambayo ni admin kwa zote kisha bonyeza kitufe cha Log In
4. Weka NCK code nilizokutumia kisha bonyeza kitufe cha Apply.
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E5172s-920 Swift na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Tags! Jinsi ya kuunlock E5172s-920 Swift, namna ya kuunlock Huawei E5172s-920 Swift, namna ya kuunlock E5172s-920, jinsi ya kuunlock Huawei E5172s-920, namna ya kuunlock Swift E5172s-920, download firmware for E5172s-920 Swift, E5172s-920 Swift firmware, E5172s-920 firmware

No comments