Jinsi ya kuunlock E303s-1 MTN Fastlink itumie mitandao yote

Hii ni modem ya Huawei E303s-1 ya mtandao wa MTN ambao umefungwa ili uweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine itakuandikia SIMLOCK Code.

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock modem yako ya Huawei E303s-1 MTN na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Huawei E303s-1 MTN itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. Chomeka modem yako kwenye computer
3. Itafunguka browser yenye address 192.168.1.1/simlock.asp kama itashindwa kufunguka, ingia
kwenye browser yako kisha andika adress hii http://192.168.1.1/html/simlockrequired.htm
- Jaza User Name na Password ambayo ni admin kwa zote kisha bonyeza kitufe cha Log In

4. Weka NCK code nilizokutumia kisha bonyeza kitufe cha Apply.
Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E303s-1 MTN na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Tags! Jinsi ya kuunlock E303s-1 MTN, namna ya kuunlock Huawei E303s-1 MTN, namna ya kuunlock E303s-1, jinsi ya kuunlock Huawei E303s-1, namna ya kuunlock MTN E303s-1, download firmware for E303s-1 MTN, E303s-1 MTN firmware, E303s-1 firmware

No comments