Jinsi ya kuunlock E303i-2 MTN itumie mitandao yote

Hii ni modem ya Huawei E303i-2 ya mtandao wa MTN ambao umefungwa ili uweze kutumia SIM Card ya mtandao mmoja tu kwahiyo ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine itakuandikia NCK Code.

Kwa kutumia njia hii, utaweza kuunlock modem yako ya Huawei E303i-2 MTN na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule unaoutaka.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Huawei E303i-2 MTN itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine
2. Chomeka modem yako kwenye computer, itaomba uweke NCK Code
3. Weka NCK code nilizokutumia kisha bonyeza kitufe cha Apply.

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Huawei E303i-2 MTN na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote.

Tags! Jinsi ya kuunlock E303i-2 MTN, namna ya kuunlock Huawei E303i-2 MTN, namna ya kuunlock E303i-2, jinsi ya kuunlock Huawei E303i-2, namna ya kuunlock E303i-2 MTN, download firmware for E303i-2 MTN, E303i-2 MTN firmware, E303i-2 firmware

No comments