Jinsi ya kuunlock Vodafone Alcatel R219T Ghana itumie mitandao yote

 Hii ni router ambayo inatumia SIM Card ya mtandao mmoja tu, ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock Vodafone R219T
na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Vodafone Alcatel R219T Ghana itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako
2. Unganisha router na Computer kwa Wifi
3. Itafunguka browser
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza OK

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Vodafone R219T na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock R219T Vodafone Ghana itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel R219T Vodafone Ghana itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch R219T Vodafone Ghana, jinsi ya kuunlock Alcatel R219T Vodafone Ghana itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel R219T Vodafone Ghana itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel R219T Vodafone Ghana itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya R219T Vodafone Ghana itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya R219T Vodafone Ghana, namna ya kuunlock Alcatel onetouch R219T Vodafone Ghana, how to unlock Alcatel R219T Vodafone Ghana, how to unlock R219T Vodafone Ghana, how to unlock Alcatel onetouch R219T Vodafone Ghana, how to unlock Alcatel R219T Vodafone Ghana, how to unlock Alcatel onetouch R219T Vodafone Ghana

No comments