Jinsi ya kuunlock Vodafone R217 itumie mitandao yote

Hii ni router ambayo inatumia SIM Card ya mtandao mmoja tu, ukiweka SIM Card ya mtandao mwingine inakuomba NCK Code.

Kwa kushirikikiana na timu ya Fahusvera, utaweza kuunlock Vodafone R217
na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote ule.

Waiting Time: 1min - 5minutes

Namna ya kuunlock Vodafone R217 itumie mitandao yote
1. Weka SIM Card ya mtandao mwingine kwenye router yako
2. Unganisha router na Computer kwa Wifi
3. Itafunguka browser
4. Jaza User Name na Password kisha bonyeza "OK"
5. Itakuomba NCK Code
6. Weka NCK Code ulizotumiwa na timu ya Fahusvera
7. Bonyeza OK

Hongera! Umefanikiwa kuunlock Vodafone R217 na utaweza kutumia SIM Card ya mtandao wowote

Tags: Jinsi ya kuunlock R217 itumie mtandao wowote, namna ya kuunlock Alcatel R217 itumie mitandao yote, jinsi ya kuunlock Alcatel onetouch R217, jinsi ya kuunlock Alcatel R217 itumie mtandao wowote, namna ya kufungua Alcatel R217 itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua Alcatel R217 itumie mitandao yote, jinsi ya kufungua modem ya R217 itumie mitandao yote, namna ya kuunlock modem ya R217, namna ya kuunlock Alcatel onetouch R217, how to unlock Alcatel R217, how to unlock R217, how to unlock Alcatel onetouch R217, how to unlock Alcatel R217, how to unlock Alcatel onetouch R217

No comments